Ufafanuzi wa fedhehesha katika Kiswahili

fedhehesha

kitenzi elekezi

  • 1

    tia aibu.

    tehemu, hizi, dhili

Asili

Kar

Matamshi

fedhehesha

/fɛðɛhɛ∫a/