Ufafanuzi msingi wa feli katika Kiswahili

: feli1feli2feli3

feli1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~iana

 • 1

  shindwa katika mtihani.

  anguka, shindwa, noa

Asili

Kng

Matamshi

feli

/fɛli/

Ufafanuzi msingi wa feli katika Kiswahili

: feli1feli2feli3

feli2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~iana

 • 1

  gundua habari mbaya au ya siri.

 • 2

  kebehi

Asili

Kar

Matamshi

feli

/fɛli/

Ufafanuzi msingi wa feli katika Kiswahili

: feli1feli2feli3

feli3

nominoPlural feli

 • 1

  kitendo kiovu; amali mbaya.

  ‘Feli mbaya’
  vitimbi, makri, kisa, tara, mkosi, nuksi

Asili

Kar

Matamshi

feli

/fɛli/