Ufafanuzi wa fenesi katika Kiswahili

fenesi

nominoPlural mafenesi

  • 1

    tunda kubwa linalomea mtini na lina kokwa nyingi ndani ambalo ganda lake ni la rangi ya kijani na lina kama mibamiba; tunda la mfenesi.

Asili

Khi

Matamshi

fenesi

/fɛnɛsi/