Ufafanuzi wa fidhulika katika Kiswahili

fidhulika

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa ujeuri.

  • 2

    tokwa na maneno ya ujeuri au ya matusi.

Asili

Kar

Matamshi

fidhulika

/fiĆ°ulika/