Ufafanuzi wa fidua katika Kiswahili

fidua

kitenzi elekezi

  • 1

    funua chochote kilichofunikwa.

  • 2

    fumua chochote kilichofumwa.

  • 3

    pandisha govi.

Matamshi

fidua

/fiduwa/