Ufafanuzi wa fikia katika Kiswahili

fikia

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa mahali fulani baada ya safari.

    ‘Wageni wamefikia hotelini’

Matamshi

fikia

/fikija/