Ufafanuzi wa filisi katika Kiswahili

filisi

kitenzi elekezi

  • 1

    maliza mali ya mtu kwa ubadhirifu, anasa au mchezo, hasa kamari.

    fusa, futa

  • 2

    chukua mali ya mtu anayedaiwa ili ilipie madeni yake.

    sapa, komba

Matamshi

filisi

/filisi/