Ufafanuzi wa finya katika Kiswahili

finya

kitenzi elekezi

  • 1

    bana kwa ncha za vidole viwili, hasa kwa kucha.

    minya, fyanda

  • 2

    bana