Ufafanuzi wa finya jicho katika Kiswahili

finya jicho

nahau

  • 1

    fumba jicho moja; konyeza.

Ufafanuzi wa Finya jicho katika Kiswahili

Finya jicho

nahau

  • 1

    konyeza.