Ufafanuzi wa foliti katika Kiswahili

foliti, foriti

nomino

  • 1

    mchezo wa watoto wa kujificha na kufukuzana.

    bui, kibe