Ufafanuzi msingi wa fotokopi katika Kiswahili

: fotokopi1fotokopi2

fotokopi1

nominoPlural fotokopi

  • 1

    nakala ya kitu kilichoandikwa, kuchorwa au kupigwa picha inayotolewa na mashine.

Asili

Kng

Matamshi

fotokopi

/fɔtɔkɔpi/

Ufafanuzi msingi wa fotokopi katika Kiswahili

: fotokopi1fotokopi2

fotokopi2

kitenzi elekezi

  • 1

    toa nakala ya karatasi yenye maandishi, mchoro au picha.

Asili

Kng

Matamshi

fotokopi

/fɔtɔkɔpi/