Ufafanuzi wa fremu katika Kiswahili

fremu

nominoPlural fremu

 • 1

  vipande vyembamba, agh. vya mbao, vinavyozungushwa pambizoni mwa picha iliyotiwa kioo.

 • 2

  umbo la nje la kitu, mwili au jengo.

  ‘Fremu ya dirisha’
  ‘Fremu ya baiskeli’
  mhimili

 • 3

  (ms) mtu aliyekonda sana.

 • 4

  chumba cha kufanyia biashara.

Asili

Kng

Matamshi

fremu

/frɛmu/