Ufafanuzi wa friza katika Kiswahili

friza

nominoPlural friza

  • 1

    sehemu ya juu au ya chini ya friji yenye mtambo wa kutengeneza barafu na kuweka vyakula kwenye hali ya kuganda au kuzizima.

Asili

Kng

Matamshi

friza

/friza/