Ufafanuzi msingi wa fudikiza katika Kiswahili

: fudikiza1fudikiza2

fudikiza1 , funikiza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    geuza juu kuwe chini.

    ‘Fudikiza bakuli’

Matamshi

fudikiza

/fudikiza/

Ufafanuzi msingi wa fudikiza katika Kiswahili

: fudikiza1fudikiza2

fudikiza2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    eneza harufu.

Matamshi

fudikiza

/fudikiza/