Ufafanuzi wa fufurika katika Kiswahili

fufurika

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    mwagika kutokana na kuchemka sana.

Matamshi

fufurika

/fufurika/