Ufafanuzi wa fukuza katika Kiswahili

fukuza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  winga au zuia, hasa wakati wa kuwinda au wa vita.

  furusha, bekua

 • 2

  piga marufuku.

  ‘Fukuza katika nchi’

 • 3

  fuata mbio nyuma; jaribu kukamata.

  angasa, kimbiza, winga, shaka, shunga, furusha

Matamshi

fukuza

/fukuza/