Ufafanuzi msingi wa fumba katika Kiswahili

: fumba1fumba2fumba3fumba4

fumba1

kitenzi elekezi

 • 1

  kutanisha pamoja vitu au sehemu.

  ‘Fumba macho’
  ‘Fumba mdomo’
  ‘Fumba miguu’

 • 2

  ficha maana; tia mizungu; piga vijembe; nena kwa fumbo.

  ‘Fumba maneno’

Matamshi

fumba

/fumba/

Ufafanuzi msingi wa fumba katika Kiswahili

: fumba1fumba2fumba3fumba4

fumba2

nomino

 • 1

  mfuko wa mkeka unaotumika kwa kulalia au kwa kuzikia maiti; mkeka uliokunjwa kwa urefu na ncha zake kufumwa pamoja.

 • 2

  aina ya tumbi za kuokotea karafuu.

  bambo, kanda

Matamshi

fumba

/fumba/

Ufafanuzi msingi wa fumba katika Kiswahili

: fumba1fumba2fumba3fumba4

fumba3

nomino

 • 1

  ‘Fumba la unga’
  bonge
  and → donge

 • 2

  ujazo wa kiganja cha mkono.

  ‘Nichotee fumba moja la mchele’
  ng’anda

Matamshi

fumba

/fumba/

Ufafanuzi msingi wa fumba katika Kiswahili

: fumba1fumba2fumba3fumba4

fumba4

nomino

 • 1

  wayo wa mnyama k.v. paka, mbwa, simba au chui wakati kucha zimefichika.

Matamshi

fumba

/fumba/