Ufafanuzi wa fumbata katika Kiswahili

fumbata

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tia katika kiganja cha mkono na kukifumba; shika mkononi.

  • 2

    zungushia mikononi au miguuni.

Matamshi

fumbata

/fumbata/