Ufafanuzi wa fundisha katika Kiswahili

fundisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    toa mafunzo.

    elimisha, somesha

  • 2

    wezesha mtu au mnyama kutenda kitu fulani kwa kumpa mafunzo au mazoezi.

Matamshi

fundisha

/fundi∫a/