Ufafanuzi msingi wa funga katika Kiswahili

: funga1funga2funga3funga4funga5

funga1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  shikiza au zuia ili kisiingie, kisitoke au kisiende.

  ‘Funga mzigo’
  ‘Funga mlango’
  boba, bana

Matamshi

funga

/funga/

Ufafanuzi msingi wa funga katika Kiswahili

: funga1funga2funga3funga4funga5

funga2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  shinda katika mchezo au mashindano.

 • 2

  tia goli, dungu au bao.

 • 3

  bwaga

Matamshi

funga

/funga/

Ufafanuzi msingi wa funga katika Kiswahili

: funga1funga2funga3funga4funga5

funga3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  kata shauri kutenda jambo fulani.

  anza, azimu

Matamshi

funga

/funga/

Ufafanuzi msingi wa funga katika Kiswahili

: funga1funga2funga3funga4funga5

funga4

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  Kidini
  kujizuia kwa hiari kula, kunywa na vitu vingine ili kutimiza nguzo au amri ya dini k.v. ya Kiislamu.

 • 2

  kuwa na saumu.

  ‘Leo nimefunga’

Matamshi

funga

/funga/

Ufafanuzi msingi wa funga katika Kiswahili

: funga1funga2funga3funga4funga5

funga5

nominoPlural funga

 • 1

  ‘Nimo katika funga’

Matamshi

funga

/funga/