Ufafanuzi wa fungate katika Kiswahili

fungate

nominoPlural fungate

  • 1

    muda wa siku saba baada ya harusi ambao bwana na biarusi huutumia kwa mapumziko.

    saba

Matamshi

fungate

/fungatɛ/