Ufafanuzi wa furama katika Kiswahili

furama

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    inama kiasi cha mikono kufika magotini au kwenye vidole vya miguu na matako yakawa juu.

    bong’oa

Matamshi

furama

/furama/