Ufafanuzi wa furukombe katika Kiswahili

furukombe

nomino

  • 1

    ndege mkubwa kama tai au kipungu anayekula wanyama wadogo.

  • 2

    kobe

Matamshi

furukombe

/furukɔmbɛ/