Ufafanuzi wa furusha katika Kiswahili

furusha

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa mtu au mnyama mahali fulani; tia mbioni.

    winga, fukuza, angasa

Matamshi

furusha

/furuāˆ«a/