Ufafanuzi wa fusika katika Kiswahili

fusika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    umia mishipa ya mwili kwa kuanguka au kujigonga.

    tetereka, teseka

Matamshi

fusika

/fusika/