Ufafanuzi msingi wa futahi katika Kiswahili

: futahi1futahi2

futahi1

kitenzi sielekezi

  • 1

    kimbia hatari au shida na kukimbilia kwingine.

Matamshi

futahi

/futahi/

Ufafanuzi msingi wa futahi katika Kiswahili

: futahi1futahi2

futahi2

nomino

  • 1

    bahati njema.

  • 2

    ushindi

Asili

Kar

Matamshi

futahi

/futahi/