Ufafanuzi wa fyoa katika Kiswahili

fyoa, fyoza, fyosa

kitenzi elekezi~ana, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    laghai au danganya kwa namna ya ujeuri.

    tania, kebehi

Matamshi

fyoa

/fjɔwa/