Ufafanuzi wa gando katika Kiswahili

gando

nominoPlural magando

  • 1

    mguu wa kaa au wa kamba wa bahari.

  • 2

    jino la kaa.

    gondi

Matamshi

gando

/gandɔ/