Ufafanuzi wa ganglioni katika Kiswahili

ganglioni, gangrioni

nomino

  • 1

    uvimbe unaotokana na mkusanyiko wa neva; kifundo cha neva.

Asili

Kng

Matamshi

ganglioni

/gangliɔni/