Ufafanuzi wa gawadi katika Kiswahili

gawadi, kuwadi

nomino

  • 1

    mtu anayepeleka habari za siri kutoka kwa mtu fulani kwenda kwa mwingine, hasa kati ya mwanamke na mwanamume.

    kijumbe, mtalaleshi, kibirikizi, mtongozeaji

Asili

Kar