Ufafanuzi msingi wa genge katika Kiswahili

: genge1genge2genge3

genge1

nominoPlural magenge

 • 1

  mteremko wa ghafla uliochongoka.

  poromoko, korongo, gema

 • 2

  ukingo wa majabali ya pwani au ziwani.

 • 3

  pango, shimo

Matamshi

genge

/gɛngɛ/

Ufafanuzi msingi wa genge katika Kiswahili

: genge1genge2genge3

genge2

nominoPlural magenge

 • 1

  kundi la watu, agh. wanaofanya kazi pamoja.

 • 2

  genge la wezi.

Matamshi

genge

/gɛngɛ/

Ufafanuzi msingi wa genge katika Kiswahili

: genge1genge2genge3

genge3

nominoPlural magenge

 • 1

  kibanda cha kuuzia chakula, hasa mahali panapojengwa kandokando ya barabara.

 • 2

  sehemu vinapouzwa vitu vidogovidogo; soko dogo nje ya jengo.

 • 3

  kambi ya wafanyakazi wa barabara au reli.

Matamshi

genge

/gɛngɛ/