Ufafanuzi wa ghadhibika katika Kiswahili

ghadhibika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na hasira.

    kasirika, fura, rea, vimba

Asili

Kar

Matamshi

ghadhibika

/ɚaðibika/