Ufafanuzi wa gharibu katika Kiswahili

gharibu

nomino

  • 1

    mtu asiye mwenyeji; mtu wa mbali.

    ajimbi, ajinabi

Asili

Kar

Matamshi

gharibu

/Éšaribu/