Ufafanuzi wa gharikisha katika Kiswahili

gharikisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya maji yafurike na kuangamiza.

Asili

Kar

Matamshi

gharikisha

/ɚariki∫a/