Ufafanuzi wa ghuri katika Kiswahili

ghuri

kitenzi elekezi

  • 1

    fanyia hila.

    danganya, hadaa

Asili

Kar

Matamshi

ghuri

/ɚuri/