Ufafanuzi wa gilidi katika Kiswahili

gilidi, jilidi

kitenzi elekezi

  • 1

    remba jalada la kitabu.

Asili

Kar

Matamshi

gilidi

/gilidi/