Ufafanuzi wa gingisa katika Kiswahili

gingisa

kitenzi elekezi

  • 1

    fanyia vitimbi mkemwenza ili achoke na avunje ndoa yake.

Matamshi

gingisa

/gingisa/