Ufafanuzi wa glukosi katika Kiswahili

glukosi

nominoPlural glukosi

  • 1

    sukari ya asili ipatikanayo katika matunda na katika vyakula vyote tunavyokula, kabla ya kugeuzwa kuwa nishati mwilini.

Asili

Kng

Matamshi

glukosi

/glukɔsi/