Ufafanuzi msingi wa gogota katika Kiswahili

: gogota1gogota2

gogota1

kitenzi elekezi

  • 1

    gongagonga mti kama afanyavyo ndege anapotaka kutoboa tundu.

Matamshi

gogota

/gɔgɔta/

Ufafanuzi msingi wa gogota katika Kiswahili

: gogota1gogota2

gogota2

nomino

  • 1

    ndege anayegongagonga mti kwa mdomo ili kupata vidudu vilivyomo katika magome yake.

Matamshi

gogota

/gɔgɔta/