Ufafanuzi msingi wa gogoteza katika Kiswahili

: gogoteza1gogoteza2

gogoteza1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    ongea kwa kusitasita au kwa kuvutavuta maneno.

Matamshi

gogoteza

/gɔgɔtɛza/

Ufafanuzi msingi wa gogoteza katika Kiswahili

: gogoteza1gogoteza2

gogoteza2

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

Matamshi

gogoteza

/gɔgɔtɛza/