Ufafanuzi wa golikipa katika Kiswahili

golikipa, kipa

nominoPlural magolikipa

  • 1

    mlinda mlango au goli, pete au kikapu katika mchezo wa mpira wa miguu, mikono, netiboli, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

golikipa

/gɔlikipa/