Ufafanuzi wa gombeza katika Kiswahili

gombeza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    tolea mtu aliyekosa maneno makali.

    fokea, kemea

Matamshi

gombeza

/gɔmbɛza/