Ufafanuzi wa Gonya koma katika Kiswahili

Gonya koma

  • 1

    omba haja kutoka kwa wazee waliofariki zamani.

  • 2

    fanya tambiko.