Ufafanuzi wa gramafoni katika Kiswahili

gramafoni

nominoPlural gramafoni

  • 1

    chombo kinachotumiwa kutoa sauti zilizonaswa kwenye sahani ya santuri.

    ‘Sahani ya gramafoni’
    kinanda, santuri

Asili

Kng

Matamshi

gramafoni

/gramafɔni/