Ufafanuzi msingi wa gubiko katika Kiswahili

: gubiko1gubiko2

gubiko1

nominoPlural magubiko

 • 1

  kitu cha kufunikia.

  mfuniko

 • 2

  hali ya kufunikwa kabisa.

 • 3

  jambo lililofichwa; jambo la siri.

Matamshi

gubiko

/gubikɔ/

Ufafanuzi msingi wa gubiko katika Kiswahili

: gubiko1gubiko2

gubiko2

nominoPlural magubiko

 • 1

  zawadi ambazo zilikuwa zikitolewa na misafara kwa mtemi au mangi aliyeipa ruhusa ya kupumzika nchini mwake.

Matamshi

gubiko

/gubikɔ/