Ufafanuzi wa gubu katika Kiswahili

gubu

nominoPlural magubu

  • 1

    hali ya kutokuwako utulivu.

    ghasia, fujo, bugu

Asili

Kar

Matamshi

gubu

/gubu/