Ufafanuzi wa gudulia katika Kiswahili

gudulia

nominoPlural magudulia

  • 1

    mtungi mdogo wa udongo wa kauri.

  • 2

    aina ya jagi la metali k.v. shaba au plastiki.

Asili

Kar

Matamshi

gudulia

/gudulija/