Ufafanuzi msingi wa gugumia katika Kiswahili

: gugumia1gugumia2

gugumia1

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~wa, ~za

 • 1

  meza kwa nguvu.

  dudumia

 • 2

  meza k.v. maji yote yaliyo chomboni.

Matamshi

gugumia

/gugumija/

Ufafanuzi msingi wa gugumia katika Kiswahili

: gugumia1gugumia2

gugumia2

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~wa, ~za

 • 1

  sema kwa kusitasita kama anavyosema mwenye kigugumizi.

Matamshi

gugumia

/gugumija/