Ufafanuzi msingi wa gumbu katika Kiswahili

: gumbu1gumbu2

gumbu1

nomino

  • 1

    buyu la mtango mwitu.

Matamshi

gumbu

/gumbu/

Ufafanuzi msingi wa gumbu katika Kiswahili

: gumbu1gumbu2

gumbu2

nomino

  • 1

    zeze lililofanyizwa kwa kitoma.

Matamshi

gumbu

/gumbu/