Ufafanuzi msingi wa gumegume katika Kiswahili

: gumegume1gumegume2

gumegume1

nominoPlural gumegume

  • 1

    bunduki inayotumia vijiwe maalumu kulipulia baruti.

Matamshi

gumegume

/gumɛgumɛ/

Ufafanuzi msingi wa gumegume katika Kiswahili

: gumegume1gumegume2

gumegume2

nominoPlural gumegume

  • 1

    neno la dharau kwa mwanamke au mwanamume.

Matamshi

gumegume

/gumɛgumɛ/